Moran Golden Tips Kiswahili
PRODUCTCODE_22820
Vidokezo Muhimu:
- Kimeandikwa kwa utaalamu ili kutimiza mahitaji ya silabasi ya Kiswahili ya KCSE
- Mpangilio unaorahisisha uelewa wa mada
- Maelezo mwafaka
- Mifano kemkem inayofungamana na mazingira katika kuelewa dhana
- Ufafanuzi wa utaratibu na jinsi ya kujibu maswali
- Maswali ya kudurusu na majibu yake baada ya kita mada
- Karatasi kumi na tano za mitihani ya majaribio pamoja na majibu yake
No reviews found
Please sign in so that we can notify you about a reply